Vibali vya Zahera bado

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 May 2018
Vibali vya Zahera bado
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ataishuhudia timu hiyo jukwaani kesho itakapokuwa ikiikabili USM Alger kwenye mchezo wa kwanza wa kundi D kombe la Shirikisho Barani Afrika kutokana na kutokamilika kwa vibali vyake.

Zahera amesafiri sambamba na makocha wasaidizi Shedrack Nsajigwa na Noel Mwandila ambao ndio watakuwa na majukumu ya kukiongoza kikosi cha Yanga kwenye mchezo huo.

Kocha huyo alitua Yanga wiki mbili zilizopita kuchukua nafasi ya George Lwandamina ambaye ametimkia ZESCO FC.

Mpaka juzi wakati Yanga inaondoka kwenda Algeria vibali vya kocha huyo vilikuwa havijakamilika
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’