Kikosi cha Yanga tayari kimewasili nchini Algeria mapema leo na kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini humo Mh Omar Yusuph Mzee.
Yanga iliondoka jijini Dar es salaam jana jioni ilipitia Dubai kuunganisha ndege ya moja kwa moja kwenda Algeria.
Keshokutwa May 06 2018 inatarajiwa kuumana na wenyeji wao USM Alger kwenye mchezo wa kwanza wa kundi D michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika

ADVERTISE HERE