Yanga Princess leo imeendelea kugawa dozi katika ligi kuu ya Wanawake wakiichapa Aliiance Girls mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa KMC Complex
Mabao ya Yanga Princess yalipachikwa na Neema Kinega na Jeannine Mukandayisenga aliyefunga mabao mawili
Maboresho yaliyofanywa na Princess katika dirisha dogo yameanza kulipa..!
Ushindi huo unaifanya Yanga Princess ifikishe alama 18 na kusogea nafasi ya tatu
ADVERTISE HERE