Aucho hataki kufananishwa na 'wowote'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jan 2025
Aucho hataki kufananishwa na 'wowote'

Kiungo Khalid Aucho ameweka wazi hapendi kufananishwa na yeyote kwa sababu anaamini hao anaofananishwa nao hawawezi kufikia ubora wake

Akiwa katika msimu wake wa nne na Yanga, Aucho amedhihirisha kwa vitendo uwanjani kuwa yeye ni bora, hili jina la Daktari wa mpira limekaa sehemu sahihi!

Kinacho mtofautisha Aucho na wengine ni kudumu katika kiwango bora kwa mua mrefu

Yule Aucho aliyesajili na Yanga misimu minne iliyopita hana tofauti kubwa huyu Aucho wa sasa ambaye ana miaka 31

Pengine umri kidogo yawezekana umeathiri kasi yake lakini ufanisi wake awapo uwanjani ni uleule

Nahodha huyo wa timu ya Taifa ya Uganda anamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu lakini tayari mazungumzo kwa ajili ya kumuongezea mkataba mpya yameanza

Bado Aucho ataendelea kuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha Yanga licha ya kuwa mabingwa hao wa nchi wanasaka kiungo mwingine ambaye atarithi mikoba yake pale atakapo-ondoka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’