Bado Mzunguuko tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jan 2025
Bado Mzunguuko tu

Tiketi za VIP A, B na C zimemalizika Wananchi wakiendelea kununua tiketi saa chache kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger ambao utapigwa saa 10 jioni

Leo makutano ya Wananchi wote ni uwanja wa Benjamin Mkapa, kuhakikisha Yanga inaibuka na ushindi dhidi ya MC Alger na kutinga robo fainali CAF CL

Kama bado hujakata tiketi, harakisha kwani Mzunguuko kuna nafasi, ndio tiketi pekee zilizobaki ili kukamilisha 'Full House'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
16h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
20h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
21h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
21h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’