Jioni ya leo Ijumaa Januari 17 Yanga imefanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wake wa Avic Town kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger ambao utapigwa kesho Ijumaa katika dimba la Benjamin Mkapa
Vijana wa kocha Sead Ramovic wako tayari kuwania alama tatu muhimu mbele ya MC Alger ili kujihakikishia tiketi ya kutinga robo fainali CAF CL










ADVERTISE HERE