Baada ya kutambulishwa rasmi kujiunga na Yanga, winga mwenye kasi ya upepo Jonathan Ikangalombo leo ameanza mazoezi ya mabingwa hao wa Tanzania Bara kwa misimu mitatu mfululizo
Leo Yanga imejifua uwanja wa Benjamin Mkapa yakiwa ni maandalizi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger ambao utapigwa Jumamosi, Januari 18 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
ADVERTISE HERE