Kueleke mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya MC Alger, uongozi wa Yanga leo utazungumza na wanahabari
Wanahabari wamealikwa katika Mkutano huo utakaofanyika Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani saa 5 asubuhi
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe ataunguruma katika Mkutano huo na kuweka hadharani mkakati wa kuizima MC Alger Jumamosi
ADVERTISE HERE