Klabu ya Yanga kwa kushirikiana na GSM Foundation wakiwa nchini Mauritania leo wametembelea kituo cha kulea Watoto Yatima cha ALCAE kilichopo mjini Nouakchott na kuwapatika misaada mbalimbali
Huu ni utaratibu wa kawaida ambao Yanga wameendelea kuufanya wanaposafiri ndani na hata nje ya nchi



ADVERTISE HERE