Kikosi cha Yanga kimetua Mauritania 'usiku mnene' tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal ambao utapigwa Jumapili, Januari 12
Ilikuwa safari ya takribani saa 20 kutoka jijini Dar es salaam kupitia Istanbul, Uturuki








ADVERTISE HERE