Mzize mchezaji bora wa wiki CAF CL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jan 2025
Mzize mchezaji bora wa wiki CAF CL

Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa michuano ya Klabu bingwa Afrika na Shirikisho la Soka Afrika (CAF)

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 amekuwa akivutia klabu nyingi kubwa kutoka nje na ndani ya Afrika kwa muda mrefu na ameendelea kujijengea sifa kwa ubora anaozidi kuuonyesha katika miezi ya hivi karibuni

Mabao mawili dhidi ya TP Mazembe yamefanya idadi ya mabao matano katika Ligi ya Mabingwa msimu huu yakiwa matatu ya raundi mbili za awali, yakiweka hai tumaini la Yanga kufuzu hatua ya robo fainali

Goli lake la kwanza lilikuwa shuti la mbali kutoka mita 30, lililoelekea moja kwa moja kwenye kona ya juu ya wavu ambalo lilisawazishia Yanga kabla ya kufunga goli la pili na kutoa pasi ya mwisho iliyozaa goli moja huku Aziz Ki akiifungia Yanga goli moja na kuweka idadi ya goli 3-1 katika mechi ya nne ya hatua ya makundi iliyopigwa wikiendi iliyopita katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’