Yanga kuifuata Al Hilal Alhamisi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jan 2025
Yanga kuifuata Al Hilal Alhamisi

Yanga leo inakamilisha maandalizi yake jijini Dar es salaam kabla ya kukwea pipa Alfajiri ya kesho Alhamisi kuelekea Mauritani tayari kwa mchezo wa raundi ya tano hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Al Hilal

Jumapili Januari 12 Yanga itaumana na Al Hilal katika mchezo ambao ni kama fainali kwa Wananchi ili kuweka hai matumaini ya kufuzu robo fainali

Yanga inahitaji kushinda mchezo huo au hata matokeo ya sare kuendelea kubaki katika kinyan'ganyiro cha kuwania tiketi ya kutinga robo fainali

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema wachezaji wako tayari isipokuwa Aziz Andabwile, Maxi Nzengeli na Yao Kouassi ambao bado wanaendelea kuimarika. Wachezaji hao hawatasafiri Mauritania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
29m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’