Ushindi wa mabao 3-1 ambao Yanga wameupata dhidi ya TP Mazembe leo, umewahakikishia Wananchi kuondoka na kitita cha Tsh Milioni 15
Ni fedha za bonas ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, kila goli likiwa na thamani ya Tsh Milioni 5
ADVERTISE HERE