Mpya

FT: Yanga 3-1 TP Mazembe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jan 2025
FT: Yanga 3-1 TP Mazembe

Alama tatu muhimu kwa Yanga zimefufua matumaini kwa Wananchi kufuzu robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Β 

Ni baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya TP Mazembe katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Bao la dakika za mapema lililofungwa na Mazembe kupitia mkwaju wa penati lilikaribia kuvuruga furaha ya Wananchi lakini Clement Mzize akaweka mzani sawa kabla ya mapumziko akifunga bao la aina yake kutoka nje ya 18

Wanasema mechi kubwa zinawahitaji wachezaji wakubwa, ndivyo ilivyokuwa Stephane Aziz Ki akifunga bao la pili kabla ya Mzize kuongeza bao la tatu dakika chache baadae akimalizia kazi nzuri ya Prince Dube

Ilikuwa mechi muhimu kwa Yanga kuibuka na ushindi alama hizi tatu zinafufua matumaini ya kufuzu robo fainali

Yanga imesogea nafasi ya tatu, baada ya kufikisha alama nne

Mchezo unaofuata ni ugenini dhidi ya AL HILAL , Januari 12

ITAWEZEKANA.....!

More Stories

Today's Newspapers, Saturday, September 12, 2026
Today's Newspapers, Saturday, September 12, 2026
48m ago
READ MORE β†’
Yanga Complete Preparations Ahead of Gaborone United CAF Champions League Clash
Yanga Complete Preparations Ahead of Gaborone United CAF Champions League Clash
10h ago
READ MORE β†’
Toure Confident His Goals Will Come as He Adapts to Life at Yanga
Toure Confident His Goals Will Come as He Adapts to Life at Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Mngqithi Named NBC Premier League Coach of the Month for August
Mngqithi Named NBC Premier League Coach of the Month for August
17h ago
READ MORE β†’
Gomez Calls on Yanga Fans to Fill Azam Complex Ahead of Gaborone United Decider
Gomez Calls on Yanga Fans to Fill Azam Complex Ahead of Gaborone United Decider
17h ago
READ MORE β†’
Mngqithi Warns Yanga Against Complacency Ahead of Gaborone United Decider
Mngqithi Warns Yanga Against Complacency Ahead of Gaborone United Decider
17h ago
READ MORE β†’
Mngqithi Reveals Aziz Ki’s Fitness Limit Ahead of Gaborone United Return Leg
Mngqithi Reveals Aziz Ki’s Fitness Limit Ahead of Gaborone United Return Leg
20h ago
READ MORE β†’
Yanga Fans Snap Up Tickets Ahead of Gaborone United Decider
Yanga Fans Snap Up Tickets Ahead of Gaborone United Decider
20h ago
READ MORE β†’
Mngqithi Believes Yanga Can Reach CAF Champions League Final
Mngqithi Believes Yanga Can Reach CAF Champions League Final
21h ago
READ MORE β†’
Today's Newspapers, Friday, September 11, 2026
Today's Newspapers, Friday, September 11, 2026
1d ago
READ MORE β†’