Jumamosi ya wiki hii, Januari 04 2025 Yanga inatupa tiketi muhimu ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amewaasa mashabiki na wanachama kuendelea kununua tiketi zao mapema
Mauzo ya tiketi yameanza taratibu bila shaka Wananchi wataongeza kasi kuanzia kesho Alhamisi

ADVERTISE HERE