Jumamosi Januari 04 2025 Yanga inawahitaji Wananchi kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa raundi ya nne hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya TP Mazembe
Ni Jumamosi ya Gusa Achia Twenda Kwao, alama tatu ndio matokeo pekee ambayo Yanga inahitaji
Mwananchi hupaswi kubaki nyumbani, hakikisha umekata tiketi yako mapema...!
ADVERTISE HERE