Mzize bado mbili tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Dec 2024
Mzize bado mbili tu

Clement Mzize anauwasha moto kweli kweli ligi kuu ya NBC akifunga katika mechi tatu mfululizo

Mzize anaongoza orodha ya wafungaji kwa upande wa Yanga akifikisha mabao 6 ambapo sasa amezidiwa mabao mawili tu na kinara wa ufungaji Elvis Rupia aliyefunga mabao nane

Licha ya kufunga katika mchezo dhidi ya Fountain Gate ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 5-0, Mzize pia aitoa pasi mbili za mabao

Amefikisha assist tatu akiwa sasa amehusika katika jumla ya mabao 9 yaliyofungwa na Yanga

Mzize alijiwekea malengo ya kuwania tuzo ya ufungaji bora msimu huu, yuko katika njia sahihi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’