Tuzo nyingine kwa Pacome

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Dec 2024
Tuzo nyingine kwa Pacome

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua leo amebeba tuzo nyingine ya nyota wa mchezo akiiongoza Yanga kupata ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Pacome alipachika mabao mawili huku akisaidia kupatikana kwa bao la tatu ambalo mlinzi wa Fountain Gate Shiga alijifunga

Hiyo ni tuzo ya tatu ya nyota wa mchezo kwa Pacome ambaye amefikisha mabao 5 na kutoa pasi nne za mabao msimu huu

Anaungana na Prince Dube katika idadi ya mabao matano ya kufunga huku Mzize akifunga bao lake la 6 leo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’