Ajenda za Mkutano Mkuu wa Wanachama Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 May 2018
Ajenda za Mkutano Mkuu wa Wanachama Yanga
Mkutano Mkuu wa wanachama wa klabu ya Yanga unafanyika Jumapili ijayo May 06 jijini Dar es salaam.

Hizi hapa ajenda za Mkutano huo;


  • Uhakiki wa wajumbe walio hudhuria mkutano

  • Kuthibitisha ajenda

  • Kuthibitisha kumbu kumbu za mkutano uliopita

  • Yatokanayo na kumbu kumbu za mkutano uliopita

  • Hotuba ya Mwenyekiti

  • Kupokea na kujadili taarifa za kazi kutoka 6amati ya utendaji

  • Kuthibitisha hesabu Zach fedha zilizo kaguliwa kwa mwaka uliopita

  • Kuthibitisha taarifa ya chombo cha ukaguzi na hatua zilizo chukuliwa na vyombo vya utendaji

  • Kuthibitisha kwa bajeti (Makadirio /makisio) ya mwaka unaofuata

  • Uchaguzi wa nafasi zilizowazi

  • Kupitia Mapendekezo ya marekebisho ya katiba na taratibu za Young Africans Sc

  • Majadiliano ya Mapendekezo yaliyo wasilishwa na Kamati ya utendaji



Wanachama watakaoruhusiwa kuingia katika Mkutano huo ni wale ambao wamelipia ada zao za uanachama
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’