Kesho Jumatano, Disemba 25 ni sikukuu ya Christmas, wakazi wa Dodoma watakuwa na sikukuu nzuri kwani jioni 'mtoko' utakuwa uwanja wa Jamhuri kushuhudia mchezo wa ligi kuu kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Yanga
Yanga ilitua Dodoma jana ambapo leo itakamilisha maandalizi yake kuelekea mchezo huo ambao Wananchi wanazihitaji alama zote tatu
Dodoma Jiji ambao ni wenyeji wa mchezo huo, wametangaza viingilio ambapo kiingilio cha chini Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
VVIP ni Tsh 30,000/-, VIP A ni Tsh 20,000/- na VIP B ni Tsh 10,000/-

ADVERTISE HERE