Dirisha dogo la usajili limefunguliwa leo Jumatatu Disemba 16 2024 na litafungwa Januari 15 2025
Klabu za Ligi Kuu, Championship, ligi daraja la kwanza na ligi ya Wanawake zitakuwa takribani mwezi mmoja wa kuboresha vikosi vyao
Yanga tayari imetambalisha usajili wa mchezaji mmoja Israel Mwenda ambaye ametua kwa mkopo akitokea klabu ya Singida Black Stars
Bila shaka kutakuwa na maingizo mengine mapya katika kikosi cha Wananchi katika dirisha hili
ADVERTISE HERE