Yanga yarejea kutoka Congo, kituo kinachofuata Mashujaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2024
Yanga yarejea kutoka Congo, kituo kinachofuata Mashujaa

Kikosi cha Yanga kimerejea salama jijini Dar es salaam wakitoka Lubumbashi DR Congo ambako jana walicheza mechi ya ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe na kulazimishwa sare ya bao 1-1

Yanga sasa inaelekeza nguvu kwenye ligi kuu ambapo Alhamisi Disemba 19 itashuka uwanja KMC Complex kumenyana na Mashujaa Fc

Yanga SC Stories

Injinia Hersi atabiriwa makubwa CAF
Injinia Hersi atabiriwa makubwa CAF
4h ago
READ MORE β†’
Yanga vs MC Alger, mechi ya kisasi Jumamosi, CAFCL
Yanga vs MC Alger, mechi ya kisasi Jumamosi, CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Novemba 23 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Novemba 23 2026
5h ago
READ MORE β†’
Dube aipa ubingwa wa kihistoria Hardrock FC
Dube aipa ubingwa wa kihistoria Hardrock FC
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumapili, Novemba 22 2026
Magazeti ya leo Jumapili, Novemba 22 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar kutoka Moshi
Yanga yarejea Dar kutoka Moshi
1d ago
READ MORE β†’
Shalulile mabao saba Ligi Kuu, bado kuna maswali?
Shalulile mabao saba Ligi Kuu, bado kuna maswali?
2d ago
READ MORE β†’
Mzize huyo anarudi kwenye makali yake
Mzize huyo anarudi kwenye makali yake
2d ago
READ MORE β†’
Highlights; Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL (FT)
Highlights; Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL (FT)
2d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumamosi, Novemba 21 2026
Magazeti ya leo Jumamosi, Novemba 21 2026
2d ago
READ MORE β†’