Mechi ya kwanza Kimataifa kwa Khomein

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Dec 2024
Mechi ya kwanza Kimataifa kwa Khomein

Mlinda lango Aboubakar Khomein jana alicheza mechi yake ya kwanza Kimataifa akiwa sehemu ya kikosi kilichotoka sare ya bao 1-1 dhidi ya TP Mazembe katika mchezo wa ligi ya mabingwa uliopigwa uwanja wa Mazembe

Khomein aliingia kipindi cha pili akichukua nafasi ya Djigui Diarra aliyepata majeraha

Khomein alifanya kazi nzuri langoni akihakikisha Mazembe hawaongezi bao na hatimaye Yanga ikafanikiwa kuondoka na alama moja muhimu Lubumbashi baada ya bao la dakika za jioni lililofungwa na Prince Dube

Hii ni mechi ya tatu Khomein anakaa langoni na katika mechi zote ambazo ametumika, hajaruhusu bao

Diarra anasumbuliwa na majeraha ya nyama za paja, ni wazi Khomein ataendelea kukaa langoni katika mechi zinazofuata za ligi, Disemba 19 Yanga ikitarajiwa kuikaribisha Mashujaa Fc uwanja wa KMC Complex

No Diarra, No problem....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’