Tukio la kumtemea mate beki wa Simba Asante Kwasi lililofanywa na Kelvin Yondani juzi huenda likamuweka matatani mlinzi huyo mahiri wa Yanga.
Yondani huenda akafungiwa michezo mitatu au zaidi kutegemea na maamuzi yatakayotolewa na Kamati ya Saa 72.
Kanuni za ligi zinazuia matukio yasiyo ya kimchezo kufanywa na wachezaji bila ya kujali mazingira yanayowapelekea kufanya matukio hayo.

ADVERTISE HERE