Yanga kuifuata TP Mazembe leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Dec 2024
Yanga kuifuata TP Mazembe leo

Kikosi cha Yanga leo kinaondoka jijini Dar es salaam kuelekea Lubumbashi DR Congo kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe

Mchezo huo wa raundi ya tatu hatua ya makundi, utapigwa keshokutwa Jumamosi, Disemba 14 katika uwanja wa Mazembe

Yanga inakwenda DR Congo huku ikifahamu haipaswi kupoteza mchezo huo ili kuweka hai matumaini ya kufuzu robo fainali

Wananchi wanahitaji ushindi lakini kama wataukosa basi angalau warudi na alama moja na kuhakikisha wanashinda nyumbani mchezo wa marudiano utakaopigwa mwanzoni mwa Januari 2025

Utakuwa mchezo mgumu lakini ili ufanikiwe katika michuano ya Kimataifa lazima uwe na timu ambayo inaweza kupata matokeo mazuri katika mechi za aina hiyo

Yale malengo ya kuitaka nusu fainali yanapaswa kuanza kuonekana Lubumbashi Jumamosi hii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’