Kikosi cha Yanga leo asubuhi kilifanya mazoezi katika uwanja wa KMC Complex yakiwa ni maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa Jumamosi Disemba 14 huko DR Congo
Beki mpya Israel Mwenda aliyetambulishwa mapema leo kutua Yanga, alishiriki mazoezi hayo kwa mara ya kwanza
ADVERTISE HERE