Hersi akagua miundombinu Algeria

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Dec 2024
Hersi akagua miundombinu Algeria

Wakati Yanga leo ikitarajiwa kukamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger utakapigwa kesho Jumamosi, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said jana alivaa kofia yake ya Mwenyekiti wa Shirikisho la vilabu barani Afrika (ACA) na kufanya ukaguzi wa miundombinu ya soka huko Algeria

Algeria ni miongoni mwa nchi zilizoomba kuwa Makao Makuu ya ACA ikichuana na Morocco na Afrika Kusini

Ulikuwa ni mualiko kutoka kwa Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Algeria (FAF) ambaye pia Waziri wa michezo wa Algeria Walid Sadi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
7h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
11h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
12h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
12h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’