Hali ya hewa Algiers ni baridi kali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Dec 2024
Hali ya hewa Algiers ni baridi kali

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema wanakabiliana na baridi kali inayovuma katika mji wa Algers

Baada ya kutua nchini Algeria jana, Kamwe amesema leo timu itaanza maandalizi ambapo wataanza mazoezi yao saa nne katika muda ambao mchezo huo utapigwa

"Ni kweli hapa Algiers baridi ni kali sana lakini tulijiandaa mapema kukabiliana na hali hii"

"uzuri hii sio mara ya kwanza kucheza hapa, mwaka jana pia tulikumbana na mazingira kama haya lakini tuliweza kushinda mchezo wa fainali CAF CC dhidi ya USM Alger"

"Leo tutaanza program za mazoezi kwa ajili ya kujiweka kuelekea siku ya mchezo Jumamosi," alisema Kamwe

Kiwango cha ubaridi kinafikia nyuzi joto 16 hali ambayo inawapa wakati mgumu baadhi ya wachezaji ambao wametoka kwenye joto la Dar

Hata hivyo mpaka kufikia Jumamosi, miili ya wachezaji itakuwa tayari imezoea hali hiyo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
33m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
58m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’