Yanga imefikia hapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Dec 2024
Yanga imefikia hapa

Yanga ilitua jiji la Algiers jana tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger utakaopigwa siku ya Jumamosi

Wananchi wamefikia kwenye Hotel ya nyota tano Legacy Luxury Hotel ambayo iko hapo Algiers

Hotel hiyo umbali wa takribani 6km kutoka uwanja wa July 05 1962 ambako mchezo dhidi ya MC Alger utapigwa Jumamosi

Ni eneo tulivu lenye ulinzi mkali na bila shaka yale yaliyojitokeza mwaka jana mashabiki wa USM Alger kuvamia hotel na kufanya vurugu usiku kucha kuelekea siku ya mchezo, hayatajitokeza tena

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’