Mwamuzi kutoka Morocco, Samir Guezzaz ndiye atakayechezesha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Al Hilal utakaopigwa leo
Mchezo huo wa kwanza Kundi A kwa timu hizo, utachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 10:00 jioni
Gezzaz atasaidiwa na Zakaria Brinsi na Hicham Ait Abbou, huku Karim Sabry akiwa mwamuzi wa akiba (Fourth Official) ambapo wote ni raia wa Morocco
ADVERTISE HERE