Kikosi cha Yanga leo kimejifua katika uwanja wa Benjamin Mkapa yakiwa ni maandalizi ya mchezo wa kwanza hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Al Hilal
Kabla ya kuanza mazoezi, nyota waliokuwa katika majukumu ya timu za Taifa ambao wamesaidia mataifa yao kufuzu Afcon 2025, walipata gwaride la heshima kutoka kwa wenzao






ADVERTISE HERE