Baada ya kuona Sheria Ngowi amewagaragaza kwenye ubunifu wa jezi, sasa wamekuja na hoja kuwa jezi za Yanga hazifuati rangi asili za klabu hiyo
Wengi wanaotoa kauli hizo ni wale ambao hawaifahamu vyema historia ya Yanga
Kijani, njano, nyeusi, blue na hata rangi ya dhahabu zimekuwa zikitumika na Yanga kwa miaka mingi
Sio mara ya kwanza Yanga kuwa na jezi yenye rangi ya dhahabu, tangu miaka ya 90 rangi hiyo imetumika
Kiufupi rangi zote unazoziona katika bendera ya Tanzania ndio rangi za Yanga......!
ADVERTISE HERE