Ushindi wa kwanza kwa Yanga Princess WPL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Nov 2024
Ushindi wa kwanza kwa Yanga Princess WPL

Baada ya kucheza mechi nne mfululizo bila ushindi, hatimaye Yanga Princess leo imeandikisha ushindi wa kwanza ikiwa ugenini huko Manyara ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Fountain Gate Princess

Arieth na Neema Paul walifunga mabao pekee ya Yanga Princess yaliyowahakikishia kinadada Wananchi ushindi wa kwanza wa kocha Edna Lema

Yanga Princess imefikisha alama 6 katika msimamo wa ligi baada ya mechi 5

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yanga kutangulia makundi CAFCL leo? Droo Oktoba 28
Yanga kutangulia makundi CAFCL leo? Droo Oktoba 28
23m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs CFFA, CAFCL MD2
Matchday; Yanga vs CFFA, CAFCL MD2
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 21 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 21 2026
5h ago
READ MORE β†’
Tayari kuhitimisha kazi ya kufuzu makundi CAFCL
Tayari kuhitimisha kazi ya kufuzu makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Kamwe apongeza TFF kupima dawa za kusisimua miili
Kamwe apongeza TFF kupima dawa za kusisimua miili
21h ago
READ MORE β†’
Yanga imepania kuiwekea rekodi CFFA
Yanga imepania kuiwekea rekodi CFFA
1d ago
READ MORE β†’
Ngoma wakati utafika, atapewa heshima yake
Ngoma wakati utafika, atapewa heshima yake
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mwenda aanza mazoezi Yanga
Mwenda aanza mazoezi Yanga
1d ago
READ MORE β†’
Viingilio; Yanga vs CFFA, CAFCL R2
Viingilio; Yanga vs CFFA, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’