Rais wa makampuni ya GSM, Mdhamini pamoja na Mfadhili wa Yanga Ghalib Said Mohamed akiwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa amechangia kiasi cha Tsh milioni 60 kwa ajili ya maboresho ya kituo cha Afya cha Kibaigwa
GSM pia ameahidi kisima cha maji, ametoa mashine ya kuhudumia watoto njiti na matengenezo ya sehemu maalumu ya kupumzikia au kusubiria wakati wa kutoa huduma




ADVERTISE HERE