Mdhamini na Mfadhili wa Yanga Ghalib Said Mohamed pamoja na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said wako katika msafara kuelekea Kibaigwa, Dodoma kwenye tukio la kutembelea maeneo mbalimbali yenye uhitaji ikiwa ni sehemu ya sherehe ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa GSM







ADVERTISE HERE