Baada ya kutangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, mashine ya Kijerumani, Sead Ramovic yuko tayari kuanza majukumu yake baada ya kusaini mkataba
Ramovic ameeleza furaha yake baada ya kutua Yanga akiahidi kuendeleza mafanikio yaliyopatikana
"Ni heshima kubwa sana kuwa hapa kuifundisha Young Africans Sports Club, ni Klabu kubwa sana yenye wachezaji wenye vipaji vikubwa na ni fahari kuwaongoza kuendeleza mafanikio ya Klabu hii yenye mataji mengi," alisema
ADVERTISE HERE