Jezi za Ligi ya Mabingwa ni suala la muda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Nov 2024
Jezi za Ligi ya Mabingwa ni suala la muda

Uongozi wa Yanga uko mbioni kutoa jezi mpya kwa ajili ya michuano ya kimataifa ambazo zitatumika kuanzia hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amewataka mashabiki kuwa tayari kupokea jezi nyingine bora ya Kimataifa chini ya ubunifu wa Sheria Ngowi

Katika misimu miwili iliyopita, Ngowi aliipendezesha Yanga kwa kubuni jezi kali ambazo zilikuwa gumzo ndani na nje ya nchi

Je safari hii anakujaje? atavunja rekodi yake?

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Vingilio; CFFA vs Yanga, CAFCL R1
Vingilio; CFFA vs Yanga, CAFCL R1
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 14 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 14 2026
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yaweka nguvu kufuzu hatua ya makundi CAFCL
Yanga yaweka nguvu kufuzu hatua ya makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mwenda arejeshwa rasmi kikosini Yanga
Mwenda arejeshwa rasmi kikosini Yanga
23h ago
READ MORE β†’
Abuya nje wiki mbili
Abuya nje wiki mbili
23h ago
READ MORE β†’
Malengo yetu mbio za ubingwa Ligi Kuu yako palepale - Kamwe
Malengo yetu mbio za ubingwa Ligi Kuu yako palepale - Kamwe
23h ago
READ MORE β†’
Manqoba apewa mtihani Ligi ya Mabingwa
Manqoba apewa mtihani Ligi ya Mabingwa
1d ago
READ MORE β†’
Yao awaangukia mashabiki Yanga 'Tutakuwa bora zaidi'
Yao awaangukia mashabiki Yanga 'Tutakuwa bora zaidi'
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 13 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 13 2026
1d ago
READ MORE β†’
Aucho atangaza kustaafu timu ya Taifa Uganda
Aucho atangaza kustaafu timu ya Taifa Uganda
1d ago
READ MORE β†’