Yanga vs Al Hilal mapema tu, saa 10 jioni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Nov 2024
Yanga vs Al Hilal mapema tu, saa 10 jioni

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limethibitisha muda wa mechi za raundi ya kwanza ya hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Yanga inaanzia nyumbani ikiwa mwenyeji wa Al Hilal katika mchezo utakaopigwa Jumanne, Novemba 26 saa 10 jioni uwanja wa Bnjamin Mkapa

Ni muda sahihi kwa Wananchi kujitokeza kwa wingi dimba la Mkapa katika mchezo ambao Yanga inahitaji kuanza vyema kampeni yake ya kuitafuta robo fainali kwa msimu wa pili mfululizo

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema muda si mrefu wataweka hadharani viingilio vya mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yanga yaweka nguvu kufuzu hatua ya makundi CAFCL
Yanga yaweka nguvu kufuzu hatua ya makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mwenda arejeshwa rasmi kikosini Yanga
Mwenda arejeshwa rasmi kikosini Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Abuya nje wiki mbili
Abuya nje wiki mbili
12h ago
READ MORE β†’
Malengo yetu mbio za ubingwa Ligi Kuu yako palepale - Kamwe
Malengo yetu mbio za ubingwa Ligi Kuu yako palepale - Kamwe
12h ago
READ MORE β†’
Manqoba apewa mtihani Ligi ya Mabingwa
Manqoba apewa mtihani Ligi ya Mabingwa
14h ago
READ MORE β†’
Yao awaangukia mashabiki Yanga 'Tutakuwa bora zaidi'
Yao awaangukia mashabiki Yanga 'Tutakuwa bora zaidi'
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 13 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 13 2026
18h ago
READ MORE β†’
Aucho atangaza kustaafu timu ya Taifa Uganda
Aucho atangaza kustaafu timu ya Taifa Uganda
1d ago
READ MORE β†’
Tusubiri kamati ya saa 72 itaamua nini tukio hili
Tusubiri kamati ya saa 72 itaamua nini tukio hili
1d ago
READ MORE β†’
TRA United vs Yanga kupigwa Oktoba 24
TRA United vs Yanga kupigwa Oktoba 24
1d ago
READ MORE β†’