Kikosi cha Yanga kimefika salama mkoani Morogoro kwa ajili ya kambi ya siku saba. Meneja Hafidh Saleh amesema kikosi kimefikia Hotel ya Highlands Park na kitafanya mazoezi ya asuhuhi katika uwanja wa Hotel hiyo.
ADVERTISE HERE