Mwandila, Nsajigwa kuiongoza Yanga mchezo dhidi ya Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Apr 2018
Mwandila, Nsajigwa kuiongoza Yanga mchezo dhidi ya Simba
Licha ya ujio wa kocha mpya Mwinyi Zahera, huenda benchi la ufundi la Yanga kwenye mchezo dhidi ya Simba likaongozwa na makocha Noel Mwandila na Shedrack Nsajigwa ambao walikabidhiwa timu baada ya kuondoka George Lwandamina.

Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema bado wanafuatilia vibali vya kocha huyo kumuwezesha kufanya kazi nchini.

Jumanne iliyopita Zahera alitua mkoani Morogoro kambini ambapo mbali na kuzungumza na wachezaji na benchi la ufundi, alipata nafasi ya kuona uwezo wa wachezaji uwanjani pia kutoa maelekezo ya hapa na pale.

Inaelezwa ujio wake umeongeza mzuka kwenye kikosi cha Yanga kuelekea mchezo dhidi ya Simba

Huenda akaanza kuonekana katika benchi la ufundi la Yanga kwenye mchezo wa kwanza wa kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger May 06 nchini Algeria.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’