Kiungo mshambuliaji Pacome Zouzoua ameibuka mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Yanga (NIC player of the Month) mwezi Oktoba 2024
Pacome ameibuka mshindi baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa Yanga akiwashinda Mudathir Yahya na Maxi Nzengeli
Pacome alipachika mabao yake mawili mwezi Oktoba katika mechi za ligi kuu dhidi ya Pamba Jiji na Singida Black Stars
Nyota huyo raia wa Ivory Coast atapata tuzo kutoka kwa Wadhamini NIC na kitita Cha Tsh Milioni 4
ADVERTISE HERE