Mapema leo klabu ya Township Rollers ya Botswana ikiongozwa na Rais wake Tendani Sebata, Mtendaji Mkuu(CEO) Snenhlanhla Ngobese pamoja na watendaji wengine kutoka idara mbalimbali walitembelea klabu ya Yanga kwa lengo la kujifunza mfumo wa uendeshaji wa klabu
Rais wa Yanga Injinia Hers Said ameongoza ziara hiyo ya mafunzo ambayo itachukua muda wa siku tatu
Matunda ya uwekezaji wa GSM katika mfumo sahihi wa uendeshaji ambayo Yanga ilichagua na kusimamiwa la LA LIGA na klabu ya Sevilla sasa yanalipa
Timu mbalimbali zimeendelea kuja nchini kujifunza mfumo huo wa kisasa






ADVERTISE HERE