Kesho Alhamisi, Novemba 07 Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex kuikabili Tabora United katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Azam Fc, Wananchi wanarejea Azam Complex wakiwa na lengo moja tu, kuchukua alama tatu mbele ya Tabora United
Hivi hapa viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 12 jioni;
ADVERTISE HERE