Kiungo Maka Edward tayari amedhihirisha kuwa yeye ni hazina katika kikosi cha Yanga.
Ni mmoja wa viungo chipukizi waliopandishwa msimu huu kutoka kikosi cha pili cha Yanga.
Japo amekuwa hapati nafasi sana, amekuwa na muendelezo mzuri kwa michezo yote aliyocheza.

Kiungo huyu ambaye pia yuko kwenye kikosi cha timu ya Taifa vijana umri chini ya miaka 20, anachohitaji ni uzoefu ambao ataupata kadiri anavyopewa nafasi ya kucheza

ADVERTISE HERE