Tatizo lilianzia hapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Nov 2024
Tatizo lilianzia hapa

Juzi baada ya Yanga kupoteza mchezo dhidi ya Azam Fc kwa kufungwa bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Azam Complex, ushindi huo ulisherehekewa zaidi mitaa ya Msimbazi kuliko hata Chamazi kwa wauza ice cream hao

Nje ya utani wa jadi ambao umedumu kwa zaidi ya miaka 80, lakini kile kilichofanywa na mashabiki wa Simba kusherehekea ushindi wa Azam Fc kupita kiasi, imeonyesha ni kwa kias gani 'wamemiss' kushangilia ushindi wa timu yao dhidi ya Yanga

Tatizo lilianza siku kama ya leo Novemba 05 2023 pale uwanja wa Benjamin Mkapa, mabao mawili ya Maxi Nzengeli, Keneddy Musonda, Aziz Ki na Pacome Zouzoua waliandika historia ya ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Simba katika mchezo wa ligi kuu

Leo umetimia mwaka mmoja kamili tangu kipigo hicho ambacho kimepelekea unyonge wa kudumu kwa watani zao mpaka kufikia hatua ya kushangilia ushindi wa timu hyingine

Baada ya kipigo cha mabao 5-1, Yanga iliendeleza ubabe dhidi ya Simba ikishinda mechi nyingine tatu zilizofuata

Ushindi wa mabao 2-1 katika mechi ya duru ya pili ligi kuu msimu uliopita, ushindi wa bao 1-0 katika Ngao ya Jamii na ushindi mwingine wa bao 1-0 mwezi uliopita katika ligi kuu ya NBC msimu huu

Kwa dakika 360 Simba imeshindwa kufurukuta mbele ya Yanga ikifanikiwa kufunga mabao mawili tu huku Wananchi wakipachika mabao 9

Lakini tatizo lilianza Novemba 05....!

Yanga SC Stories

Mechi ya mkondo wa kwanza CFFA vs Yanga itapigwa Mauritius
Mechi ya mkondo wa kwanza CFFA vs Yanga itapigwa Mauritius
16m ago
READ MORE β†’
Anayetaka kujua ubora wa Yanga aje uwanjani Jumamosi - Samwel
Anayetaka kujua ubora wa Yanga aje uwanjani Jumamosi - Samwel
1h ago
READ MORE β†’
Abuya kuhitimisha majukumu ya Kimataifa leo
Abuya kuhitimisha majukumu ya Kimataifa leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 05 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 05 2026
4h ago
READ MORE β†’
Doumbia amepata chimbo jipya Morocco
Doumbia amepata chimbo jipya Morocco
17h ago
READ MORE β†’
BBD yuko tayari kuendeleza alipoishia
BBD yuko tayari kuendeleza alipoishia
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumapili, Oktoba 04 2026
Magazeti ya leo Jumapili, Oktoba 04 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga Princess mshindi wa tatu Ngao ya Jamii
Yanga Princess mshindi wa tatu Ngao ya Jamii
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yajipima na JKT Tanzania Gymkhana
Yanga yajipima na JKT Tanzania Gymkhana
1d ago
READ MORE β†’
TFF yaruhusu wachezaji Yanga, Simba, Singida BS kurejea
TFF yaruhusu wachezaji Yanga, Simba, Singida BS kurejea
2d ago
READ MORE β†’