Viungo wa Yanga Mudathir Yahya, Pacome Zouzoua na Maxi Nzengeli wanachuana kuwania tuzo ya mchezaji bora kwa mwezi Oktoba 2024
Nyota hao wamekuwa katika kiwango bora wakiisaidia Yanga kushinda mechi zote zilizochezwa Oktoba
Nani anastahili kubeba tuzo ya mchezaji bora wa Yanga Oktoba? (NIC Player of the Month?)