JKCI yaipa tuzo ya heshima Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Nov 2024
JKCI yaipa tuzo ya heshima Yanga

Mwishoni mwa wiki klabu ya Yanga kwa kushirikiana na GSM Foundation ilichangia TZS Millioni 50 kwenye harambee maalum iliyoendeshwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete - JKCI kwa dhumuni la kusaidia matibabu ya watoto 1500 wanaotibiwa kwenye taasisi hiyo

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete - JKCI ilitoa tuzo ya heshima kwa kutambua mchango wa Yanga katika uhamasishaji na uchangiaji fedha wa kusaidia matibabu ya watoto wanaotibiwa katika taasisi hiyo

Tuzo hiyo ilikabidhiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete na kupokelewa na Mkurugenzi wa Idara ya Masoko na Wanachama wa Yanga, Ibrahim Samwel

Yanga SC Stories

Yanga Princess mshindi wa tatu Ngao ya Jamii
Yanga Princess mshindi wa tatu Ngao ya Jamii
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yajipima na JKT Tanzania Gymkhana
Yanga yajipima na JKT Tanzania Gymkhana
6h ago
READ MORE β†’
Yanga Princess kusaka mshindi wa tatu Ngao ya Jamii
Yanga Princess kusaka mshindi wa tatu Ngao ya Jamii
9h ago
READ MORE β†’
TFF yaruhusu wachezaji Yanga, Simba, Singida BS kurejea
TFF yaruhusu wachezaji Yanga, Simba, Singida BS kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 03 2026
Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 03 2026
13h ago
READ MORE β†’
Badru afichua Kazimoto kupandishwa kikosi cha kwanza
Badru afichua Kazimoto kupandishwa kikosi cha kwanza
1d ago
READ MORE β†’
Chuga Boy aongezwa kikosi cha Stars U23
Chuga Boy aongezwa kikosi cha Stars U23
1d ago
READ MORE β†’
Dabi ya Kariakoo kupigwa dimba la Uhuru
Dabi ya Kariakoo kupigwa dimba la Uhuru
1d ago
READ MORE β†’
Hizi hapa mechi za Yanga Oktoba
Hizi hapa mechi za Yanga Oktoba
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 02 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 02 2026
1d ago
READ MORE β†’