Yanga iko juu Afrika Mashariki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Nov 2024
Yanga iko juu Afrika Mashariki

Mtandao maarufu wa OPTA umekuwa ukitoa takwimu mbalimbali za michezo, katika takwimu zao za karibuni wameiorodhesha Yanga kama klabu bora katika ukanda wa Afrika Mashariki

Yanga inashika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki huku ikishika nafasi ya 234 Duniani

Klabu nyingine kutoka ligi kuu ya NBC, Simba na Azam Fc zinashika nafasi ya pili na tatu. Simba ni ya 431 duniani wakati Azam Fc ni ya 879

Msimu huu Yanga imejiwekea malengo makubwa zaidi ya kufanya vizuri katika michuano ya ligi ya mabingwa ambayo hatua ya makundi itaanza mwishoni mwa mwezi huu

Bila shaka Wananchi wataendelea kusogea juu zaidi katika ranking za CAF na hata ranking nyingine huria

Yanga SC Stories

Yanga Princess mshindi wa tatu Ngao ya Jamii
Yanga Princess mshindi wa tatu Ngao ya Jamii
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yajipima na JKT Tanzania Gymkhana
Yanga yajipima na JKT Tanzania Gymkhana
4h ago
READ MORE β†’
Yanga Princess kusaka mshindi wa tatu Ngao ya Jamii
Yanga Princess kusaka mshindi wa tatu Ngao ya Jamii
7h ago
READ MORE β†’
TFF yaruhusu wachezaji Yanga, Simba, Singida BS kurejea
TFF yaruhusu wachezaji Yanga, Simba, Singida BS kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 03 2026
Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 03 2026
11h ago
READ MORE β†’
Badru afichua Kazimoto kupandishwa kikosi cha kwanza
Badru afichua Kazimoto kupandishwa kikosi cha kwanza
1d ago
READ MORE β†’
Chuga Boy aongezwa kikosi cha Stars U23
Chuga Boy aongezwa kikosi cha Stars U23
1d ago
READ MORE β†’
Dabi ya Kariakoo kupigwa dimba la Uhuru
Dabi ya Kariakoo kupigwa dimba la Uhuru
1d ago
READ MORE β†’
Hizi hapa mechi za Yanga Oktoba
Hizi hapa mechi za Yanga Oktoba
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 02 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 02 2026
1d ago
READ MORE β†’