Basi la Yanga limerembwa upya kwa kuondoka stika za wadhamini wa zamani (TBL) na kuweka stika mpya za wadhamini wa sasa SportPesa.
Basi hilo ndilo linawapeleka vijana wa Yanga B mkoani Mbeya. Wamelazimika kusubiri zoezi la kuweka stika mpya limalizike ndio waanze safari.

ADVERTISE HERE