Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam jioni hii kuelekea mkoani Arusha kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union
Jumamosi Oktoba 26 Yanga itakuwa mgeni wa Coastal Union katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid








ADVERTISE HERE